# asiyekuwa kinyume nasi "asiyetupinga sisi" # yuko upande wetu Hii inaweza kuelezwa kwa usahihi inavyomaanisha. "ni kujaribu kupata malengo yale yale ambao tunayo" # Yeyote atakayekupa kikombe cha maji ya kunywa kwa sababu uko na Kristo Yesu anazungumza kumpa yeyote kikombe cha maji kama mfano wa mtu anavyoweza kumsaidia mwingine. Huu mfano wa kumsaidia mwingine kwa njia yoyote. # hapotezi Hii ni sentensi iliyo hasi inasisitiza maana ya chanya. Katika baadhi ya lugha, ni halisia zaidi kutumia sentensi chanya.