# Maafisa Hawa ni watu walioshikilia nafasi za maamlaka na kutoa maagizo # watu Hili ni taifa la Israeli # dhiraa elfu mbili "dhiraa 2,000" Neno ''dhiraa'' ni kipimo ambacho ni sawa na umbali kutoka kwenye kiwiko cha mkono hadi mwisho wa vidole.