# Na ile madhabahu ikavunjika vipande vipande, na majivu yakamwagika kutoka madhabahuni "Mungu akazivunja zile madhabahu na akayamwaga yale majivu kutoka madhabahuni" # kama iloivyokuwa imefafanuliwa kuwa ndiyo ishara ya kwamba mtu wa Mungu alikuwa amepewa kwa neno la Mungu "kama ishara ambayo mtu wa Mungu alikuwa amefafanua kwa neno la BWANA"