Add 'mat/14/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-03 16:16:18 +00:00
parent 11f003e2ee
commit f57e0f413c
1 changed files with 16 additions and 0 deletions

16
mat/14/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,16 @@
# Mathayo14 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
14:3-12 inataja matukio yaliyotokea hapo awali. Kwa hiyo, kuna mkatizo katika utaratibu wa matukio wa hadithi. Kusudi la mkatizo huu ni ufafanuzi; mtafsiri ataona umuhimu wa kuashiria mkatizo huu.
### Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii
#### Kinaya
Herode aliamini kwamba kuvunja kiapo kulikuwa na aibu, hivyo aliamuru kuuawa kwa Yohana Mbatizaji. Hata hivyo, mauaji ambayo aliwajibika ilikuwa mbaya zaidi. Hii ni kinaya. (Angalia: rc://en/ta/man/translate/figs-irony)
## Links:
* __[Matthew 14:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../13/intro.md) | [>>](../15/intro.md)__