Add 'rev/08/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-06-09 18:55:05 +00:00
parent 09502b4219
commit f2cf603ac5
1 changed files with 23 additions and 0 deletions

23
rev/08/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,23 @@
# Ufunuo 08 Maelezo ya jumla
### Dhana muhimu katika sura hii
#### Mihuri saba
Kuna kutoelewana kuhusu jinsi mihuri hii imeambatanishwa kwenye kitabu.Ingekuwa ya kueleweka iwapo iliwekwa upande upande lakini kitabu kingeonyesha kilichomo baada ya muhuri wa mwisho kuvunjwa. Hivi sivyo sura hii inafafanua kitabu kwa sababu kila muhuri unafunua hukumu fulani. Inaaminika pia kwamba kutokuwepo kwa muhuri wa saba kunafunua baragumu saba za hukumu.(Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/judge]] na [[rc://en/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting)
### Mifano muhimu ya usemi
#### Sauti ya kupita
Sauti ya kupita imetumika mara nyingi katika sura hii kuficha utambulisho wa anayefanya hilo tendo. Itakuwa ngumu kuakilisha hili iwapo lugha ya mtafsiri haina sauti ya kupita. (Tazama:rc://en/ta/man/translate/figs-activepassive)
#### Mifano
Mwandishi anatumia mifano nyingi. Hii ni kwa sababu anajaribu kufafanua mifano anayoona kwenye maono. Kwa hivyo analinganisha mifano katika maono haya na vitu vya kawaida. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-simile)
## Links:
* __[Revelation 08:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../07/intro.md) | [>>](../09/intro.md)__