Add 'rom/10/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-17 18:19:52 +00:00
parent da89d8d5e3
commit eb97efab33
1 changed files with 31 additions and 0 deletions

31
rom/10/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,31 @@
# Warumi 10 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Baadhi ya tafsiri zinaweka nukuu za nathari kutoka Agano la Kale upande wa kulia zaidi wa ukurasa kushinda maandiko yote. ULB inafanya hivi kwa maneno yaliyotajwa katika mstari wa 8.
Baadhi ya tafsiri huweka kila mstari wa mashairi upande wa kulia zaidi kuliko maandiko yote ili iwe rahisi kusoma. ULB inafanya hivi kwa mistari 18-20 ya sura hii, ambayo ni maneno kutoka Agano la Kale.
### Dhana maalum katika sura hii
#### Haki ya Mungu
Paulo anafundisha hapa kwamba ingawa Wayahudi wengi walijaribu kuwa wenye haki, hawakufanikiwa. Hatuwezi kupata haki ya Mungu kwa kazi yetu mwenyewe. Mungu anatupa haki ya Yesu tunapomwamini. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/righteous]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/faith)
### Mifano muhimu ya matamshi katika sura hii
#### Maswali ya uhuishaji
Paulo anatumia maswali mengi ya uhuishaji katika sura hii. Anafanya hivyo kuwashawishi wasomaji wake kwamba Mungu hawaokoi watu wa Kiebrania pekee, hivyo Wakristo lazima wawe tayari kwenda kuhubiri Injili kwa ulimwengu wote. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-rquestion]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/save)
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### "Nitawachochea wivu kwa kile ambacho si taifa"
Paulo anatumia unabii huu kuelezea kwamba Mungu atatumia kanisa kuwafanya watu wa Kiebrania kuwa na wivu. Hii ni ili wamtafute Mungu na kuamini Injili. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/prophet]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/jealous]] and [[rc://en/ta/man/translate/figs-explicit)
## Links:
* __[Romans 10:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../09/intro.md) | [>>](../11/intro.md)__