Add 'rom/03/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-17 16:47:36 +00:00
parent b1333952ab
commit df7e5c5e5f
1 changed files with 29 additions and 0 deletions

29
rom/03/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,29 @@
# Warumi 03 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Baadhi ya tafsiri huweka kila mstari wa mashairi kwenye upande wa kulia zaidi ya maandiko yote ili iwe rahisi kusoma. ULB inafanya hili kwa mistari ya 4 na 10-18 ya sura hii, ambayo ni maneno kutoka Agano la Kale.
### Dhana maalum katika sura hii
Sura ya 3 hujibu swali hili, "Ni faida gani kuwa Myahudi dhidi ya kutokuwa Myahudi?" (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/lawofmoses]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/save)
#### "Kwa maana wote wamefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu"
Kwa sababu Mungu ni mtakatifu, yeyote aliye pamoja naye mbinguni lazima awe mkamilifu. Dhambi lolote litamhukumu mtu. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/heaven]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/condemn)
#### Kusudi la sheria ya Musa
Kutii sheria haiwezi kumfanya mtu awe na haki kwa Mungu. Kutii sheria ya Mungu ni njia ambayo mtu anaonyesha kuwa anamwamini Mungu. Watu daima wamekuwa wenye haki kwa imani tu.
### Mifano muhimu ya matamshi katika sura hii
#### Maswali ya uhuishaji
Mara kwa mara Paulo hutumia maswali ya uhuishaji katika sura hii. Inaonekana nia ya maswali haya ya uhuishaji ni kumfanya msomaji kuona dhambi zake ili atamtegemee Yesu. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-rquestion]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/guilt)
## Links:
* __[Romans 03:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../02/intro.md) | [>>](../04/intro.md)__