Add 'rom/07/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-17 17:21:46 +00:00
parent 9f29e94d68
commit d9577f7ad9
1 changed files with 31 additions and 0 deletions

31
rom/07/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,31 @@
# Warumi 07 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
#### "Au hujui"
Paulo anatumia maneno haya kujadili mada mpya, kwa kuunganisha maneno yanayofuata na mafundisho ya kwanza.
### Dhana maalum katika sura hii
#### "Tumekuwa huru kutoka sheria"
Paulo anaelezea kwamba sheria ya Musa haifai tena. Ingawa hii ni kweli, kanuni zisizo na wakati kwenye sheria zinaonyesha tabia ya Mungu. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/lawofmoses)
### Mifano muhimu ya matamshi katika sura hii
#### Ndoa
Maandiko ya kawaida hutumia ndoa kama mfano. Hapa Paulo anaitumia kuelezea jinsi kanisa linavyohusiana na sheria ya Musa na sasa kwake Kristo. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor)
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### Mwili
Hili ni suala gumu. Kuna uwezekano kuwa "Mwili" ni mfano ya asili yetu ya dhambi. Paulo hafundishi kwamba miili yetu ya kimwili ni dhambi. Inaonekana kuwa Paulo anafundisha kwamba wakati wote Wakristo wanaishi ("katika mwili"), tutaendelea kutenda dhambi. Lakini asili yetu mpya itapigana dhidi ya asili yetu ya zamani. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/flesh]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/sin)
## Links:
* __[Romans 07:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../06/intro.md) | [>>](../08/intro.md)__