Add 'luk/08/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-05 17:43:24 +00:00
parent 7661a5c431
commit d8ac2c5eaf
1 changed files with 29 additions and 0 deletions

29
luk/08/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,29 @@
# Luka 08 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Kuna nyakati katika maelezo ya sura hii ambapo kuna mabadiliko ya ghafla katika mada. Mtafsiri hapaswi kulainisha mabadiliko haya.
### Dhana maalum katika sura hii
#### Miujiza
Miujiza ya Yesu katika sura hii inaonyesha kwamba alikuwa na mamblaka juu ya mambo yanayozidi udhibiti wa binadamu. Inaonyesha pia kwamba kumwabudu Yesu ni jibu sahihi kwa matendo yake. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/authority)
### Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii
#### Mifano
Mfano ni hadithi fupi inayotumikiwa kwa kuonyesha fundisho ya maadili au wa kidini. Sura hii ina mfano mrefu, unaofunua ukweli kwa wale wanaomwamini Yesu. Pia yanaficha ukweli huo huo kutoka kwa wale wanaomkataa Yesu. Mifano kwa kawaida huchukua fomu ya hadithi.
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### Kaka na Dada
Sura hii inaanzisha dhana ya kaka na dada "wa kiroho". Maandiko hutumia maneno haya kwa kutaja uhusiano kati ya Waisraeli. Hapa, wale wanaomfuata Yesu sasa wanajulikana kama kaka na dada. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/spirit]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/brother)
## Links:
* __[Luke 08:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../07/intro.md) | [>>](../09/intro.md)__