forked from WA-Catalog/sw_tn
Update '2pe/front/Intro.md'
This commit is contained in:
parent
69fed71ce6
commit
d74e010278
|
@ -1,49 +1,50 @@
|
|||
# Introduction to 2 Peter
|
||||
# Utangulizi wa 2 Petero
|
||||
|
||||
## Sehemu ya 1: Maelezo kwa jumla
|
||||
|
||||
### Outline of the Book of 2 Peter
|
||||
### Muhtasari wa kitabu cha 2 Petero
|
||||
|
||||
1. Introduction (1:1-2)
|
||||
1. Reminder to live good lives because God has enabled us to (1:3-21)
|
||||
1. Warning against false teachers (2:1-22)
|
||||
1. Encouragement to prepare for the second coming of Jesus (3:1-17)
|
||||
1. Utangulizi (1:1-2)
|
||||
1. Kukumbusha kuishi maisha mema kwa sababu Mungu ametuwezesha (1:3-21)
|
||||
1. Onyo kuhusu walimu wa uongo (2:1-22)
|
||||
1. Kutia moyo kujiandaa kwa ujio wa pili wa Yesu (3:1-17)
|
||||
|
||||
### Who wrote the Book of 2 Peter?
|
||||
### Nani aliandika kitabu cha 2 Petero?
|
||||
|
||||
The author identified himself as Simon Peter. Simon Peter was an apostle. He also wrote 1 Peter. Peter probably wrote this letter while in a prison in Rome just before he died. Peter called this letter his second letter, so we can date it after 1 Peter. He addressed the letter to the same audience as his first letter. The audience probably was Christians scattered throughout Asia Minor.
|
||||
Mwandishi anajitambulisha kama Simoni Petero. Petero alikuwa mtume. Pia aliandika 1 Petero. Kuna uwezekano Petero aliandika barua hii akiwa gerezani Roma muda mfupi kabla ya kifo chake. Petero aliita barua hii kama barua ya pili na kwa sababu hiyo tunaiorodhesha baada ya 1 Petero. Aliandikia barua hii kwa hadhira moja ya barua yake ya kwanza. Kuna uwezekano hadhira hii ilikuwa ni Wakristo waliotawanyika katika inchi za Asia Ndogo.
|
||||
|
||||
### What is the Book of 2 Peter about?
|
||||
### Kitabu cha 2 Petero kinahusu nini?
|
||||
|
||||
Peter wrote this letter to encourage believers to live good lives. He warned them about false teachers who were saying Jesus was taking too long to return. He told them that Jesus was not slow in returning. Instead, God was giving people time to repent so that they would be saved.
|
||||
|
||||
### How should the title of this book be translated?
|
||||
Petero aliandika barua hii kuwapa moyo waumini waishi maisha mema. Aliwaonya kuhusu walimu waongo waliosema Yesu alikuwa anachukua muda mrefu kurudi. Aliwaambia Yesu hakuchelewa kurudi ila ni Mungu alikuwa anawapatia watu muda wa kutubu ili waokolewe.
|
||||
|
||||
Translators may choose to call this book by its traditional title, "2 Peter" or "Second Peter." Or they may choose a clearer title, such as "The Second Letter from Peter" or "The Second Letter Peter Wrote." (See: [[rc://en/ta/man/jit/translate-names]])
|
||||
### Kichwa cha kitabu hiki kinastahili kutafsiriwa namna gani?
|
||||
|
||||
## Part 2: Important Religious and Cultural Concepts
|
||||
Watafsiri wanaweza kukiita kitabu hiki kutumia jina lake la kitamaduni, "2 Petero" ama "Petero wa Pili" ama wanawezatumia kichwa kinachoeleweka zaidi kama, "Barua ya Pili kutoka kwa Petero" ama "Barua ya pili aliyoandika Petero" (Tazama: rc://en/ta/man/translate/translate-names)
|
||||
|
||||
### Who were the people Peter spoke against?
|
||||
## Sehemu ya 2: Dhana muhimu za kidini na kitamaduni
|
||||
|
||||
It is possible that the people Peter spoke against were those who would become known as Gnostics. These teachers distorted the teachings of scripture for their own gain. They lived in immoral ways and taught others to do the same.
|
||||
### Ni watu gani Petero aliwakemea?
|
||||
|
||||
### What does it mean that God inspired Scripture?
|
||||
Labda watu Petero aliwakemea ni watu waliojulikana kwa jina la Wagnostiki. Walimu hawa waliharibu mafundisho ya maandiko matakatifu kwa manufaa yao wenyewe. Waliishi maisha maovu na wakafundisha watu kuishi hivyo .
|
||||
|
||||
The doctrine of scripture is a very important one. 2 Peter helps readers to understand that while each writer of scripture had his own distinct way of writing, God is the true author of scripture (1:20-21).
|
||||
### Nini maana ya kwamba Mungu aliongoza maandiko?
|
||||
|
||||
## Part 3: Important Translation Issues
|
||||
Mafundisho ya Maandiko ni muhimu sana. 2 Petero inawasaidia wasomaji kuelewa kwamba ingawa kila mwandishi wa maandiko ana njia yake ya kipekee ya kuandika, Mungu ndiye mwandishi wa kipekee wa maandiko. (1:20-12)
|
||||
|
||||
#### Singular and plural "you"
|
||||
## Sehemu ya 3: Maswala muhimu ya tafsiri
|
||||
|
||||
In this book, the word "I" refers to Peter. Also, the word "you" is always plural and refers to Peter's audience. (See: [[rc://en/ta/man/jit/figs-exclusive]] and [[rc://en/ta/man/jit/figs-you]])
|
||||
#### Umoja na wingi wa "Wewe" na "Nyinyi"
|
||||
|
||||
### What are the major issues in the text of the Book of 2 Peter?
|
||||
Katika kitabu hiki, neno "mimi" linaashiria Petero. Pia neno "Nyinyi" linaashiria hadhira ya Petero. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-exclusive and rc://en/ta/man/translate/figs-you)
|
||||
|
||||
For the following verses, some modern versions of the Bible differ from older versions. The ULB text has the modern reading and puts the older reading in a footnote. If translations of the Bible exists in the general region, translators should consider using the readings found in those versions. If not, translators are advised to follow the modern reading.
|
||||
### Ni maswala gani muhimu katika maandiko ya kitabu cha 2 Petero?
|
||||
|
||||
* "to be kept in chains of lower darkness until the judgment" (2:4). Some modern versions and older versions have, "to be kept in pits of lower darkness until the judgment."
|
||||
* "They enjoy their deceitful actions while they are feasting with you" (2:13). Some versions have, "They enjoy their actions while they are feasting with you in love feasts."
|
||||
* "Beor" (2:15). Some other translations read, "Bosor."
|
||||
* "The elements will be burned with fire, and the earth and the deeds in it will be revealed" (3:10). Other versions have, "The elements will be burned with fire, and the earth and the deeds in it will be burned up."
|
||||
Katika mistari ifuatayo, matoleo ya kisasa ya Bibilia yanatofautiana na matoleo ya kale. Toleo la ULB lina masomo ya kisasa na linaweka masomo ya zamani kama maelezo ya chini. Kama tafsiri ya Bibilia iko katika eneo kwa ujumla, watafsiri wanapaswa kuzingatia masomo ya matoleo hayo. Kama si hivyo, wanapaswa kufuata masomo ya kisasa.
|
||||
|
||||
* "Kuwekwa katika minyororo ya giza la chini hadi hukumu" (2:4) Matoleo mengine ya kisasa na ya zamani yana, "Kuwekwa katika mashimo ya giza la chini mpaka hukumu".
|
||||
* "Wanafurahia matendo ya uongo wakati wakiwa katika karamu na nyinyi" (2:13) Matoleo mengine yana, "Wanafurahia matendo yao wakati wanasherehekea nanyi katika karamu za upendo."
|
||||
* "Beori"(2:15) matoleo mengine yanasoma, "Bosori".
|
||||
* "Vitu vya asili vitachomwa kwa moto na ardhi na matendo yao yatatambulishwa" (3;10). Matoleo mengine yana, "Vitu vya asili vitachomwa kwa moto na ardhi na matendo yaliyomo vitachomeka."
|
||||
|
||||
(See: [[rc://en/ta/man/jit/translate-textvariants]])
|
Loading…
Reference in New Issue