From d39e7bbedc01ca2e66fd78e940fbebc9273d451e Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: Rick Date: Thu, 6 May 2021 23:13:58 +0000 Subject: [PATCH] Add 'jhn/14/Intro.md' --- jhn/14/Intro.md | 17 +++++++++++++++++ 1 file changed, 17 insertions(+) create mode 100644 jhn/14/Intro.md diff --git a/jhn/14/Intro.md b/jhn/14/Intro.md new file mode 100644 index 00000000..0d9bf2a8 --- /dev/null +++ b/jhn/14/Intro.md @@ -0,0 +1,17 @@ +# Yohana 14 Maelezo ya Jumla + +### Dhana maalum katika sura hii + +#### "Nyumba ya Baba yangu" + +Hii sio kurejelea hekalu. Lakini, ni kurejelea makao ya Mungu mbinguni. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/heaven) + +#### Mfariji + +Hili ni jina lingine la Roho Mtakatifu, pamoja na "Roho wa Kweli." Alikuwa tayari ulimwenguni, lakini angekuja kwa njia maalum, kukaa kati ya Wakristo, milele. Yesu na Roho Mtakatifu wote ni Mungu; kwa sababu ya ukweli huu, mtu anaweza kusema kwamba Yesu atakaa katika Wakristo baada ya kifo chake. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/holyspirit) + +## Links: + +* __[John 14:01 Notes](./01.md)__ + +__[<<](../13/intro.md) | [>>](../15/intro.md)__ \ No newline at end of file