Add 'luk/11/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-05 18:21:55 +00:00
parent 888ef81f8c
commit d1699c88de
1 changed files with 29 additions and 0 deletions

29
luk/11/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,29 @@
# Luka 11 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Baadhi ya tafsiri hupendelea kuweka mbele kidogo mashairi au sala maalum. ULB na tafsiri nyingine nyingi za Kiingereza huingiza mistari ya 11: 2-4, ambayo ni sala maalum, inayoitwa "Sala ya Bwana." Sala hii katika Mathayo 6 kuweka mbele kidogo."
### Dhana maalum katika sura hii
#### Sala ya Bwana
Huu sio maombi ya kurudiwa mara kwa mara, ingawa sala hii inaweza kutumika kwa njia hiyo. Badala yake, hutoa mfano wa jinsi Wakristo wanapaswa kuomba.
#### Yona
Yona alikuwa nabii wa Agano la Kale wa muhimu fulani lakini sio umuhimu mkubwa. Aliita taifa la Wayunani kutubu dhambi zao na walitii. Matukio haya husababisha nabii wa Kiyahudi kuwa na hasira juu ya neema ya Mungu inayoonyeshwa kwa Mataifa. Sura hii inalinganisha na mtazamo wa baadaye wa Wayahudi, sababu ya ukosefu wao wa toba na baadaye kuwa na hasira juu ya Mungu kwa neema anayowaonyesha Wayunani. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/prophet]], [[rc://en/tw/dict/bible/kt/sin]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/grace)
#### Mwanga
Mwangazi ni picha ya kawaida katika Maandiko iliyotumiwa kuonyesha haki. Mwanga pia hutumiwa kuonyesha njia ya haki na kuonyesha kuishi kwa haki. Giza mara nyingi hutumiwa kama picha ya kuonyesha dhambi au uovu. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/righteous]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/unrighteous)
#### Kuosha
Hii ilikuwa zoezi lililofanywa na Mafarisayo, lakini haikuwa wajibu kulingana na sheria ya Musa. Mafarisayo walikuwa na ibada nyingi zinazohusisha kuosha kwa kujaribu kujiweka safi. Hii ni ajabu kwa sababu hakuna kiasi cha maji kinachoweza kuwafanya kuwa safi kiroho. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/lawofmoses]], [[rc://en/tw/dict/bible/kt/clean]] and [[rc://en/ta/man/translate/figs-irony)
## Links:
* __[Luke 11:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../10/intro.md) | [>>](../12/intro.md)__