Add 'mrk/08/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-04 17:23:48 +00:00
parent cd58c13369
commit cec13b5d25
1 changed files with 32 additions and 0 deletions

32
mrk/08/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,32 @@
# Marko 08 Maelezo ya Jumla
### Dhana maalum katika sura hii
#### Mkate
Wakati Yesu alifanya muujiza na kulisha na mkate kwa umati mkubwa wa watu, labda walikumbuka wakati Mungu alifanya ajabu zamani akalisha watu wa
Israeli jangwani.
Chachu ni kiungo kinachosababisha mkate kuwa kubwa kabla ya kuoka. Katika sura hii, Yesu anatumia chachu kama sitiari ya mambo ambayo yanabadili jinsi watu wanavyofikiri, kuzungumza, na kutenda. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor)
#### "Kizazi cha uzinzi"
Wakati Yesu aliwaita watu "kizazi cha uzinzi," alikuwa akiwaambia kuwa hawakuwa waaminifu kwa Mungu. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/faithful and rc://en/tw/dict/bible/kt/peopleofgod)
### Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii
#### Maswali ya uhuishaji
Yesu alitumia maswali mengi yauhuishaji kama njia ya kuwafundisha wanafunzi (Marko 8:17-21) na kuwakaripia watu (Marko 8:12). (See: rc://en/ta/man/translate/figs-rquestion)
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### Kitendawili
Kitendawili ni taarifa ya kweli inayoonekana kuelezea kitu kisichowezekana. Yesu anatumia kitambo wakati anasema, "Yeyote anayetaka kuokoa maisha yake atayapoteza, na yeyote anayepoteza maisha yake kwa ajili yangu atayapata" (Marko 8:35-37).
## Links:
* __[Mark 08:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../07/intro.md) | [>>](../09/intro.md)__