Add 'act/20/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-11 18:08:39 +00:00
parent ffb831ec02
commit c28522c7a4
1 changed files with 21 additions and 0 deletions

21
act/20/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,21 @@
# Matendo 20 Maelezo kwa jumla
### Muundo na Mpangilio
Katika sura hii Luka anafafanua safari ya mwisho ya Paulo kwa waumini walioko katika mikoa ya Makedonia na Asia kabla ya Paulo kurudi Yerusalemu.
### Dhana maalum katika sura hii
#### Kupiga mbio
Paulo alifananisha maisha ndani ya Yesu kan kwamba alikuwa kwa mashindano ya kupiga mbio. Alimaanisha kwamba alihitaji kuendelea kufanya bidii sana hata kama mambo hayakumwendea vyema mpaka akataka kuachia njiani. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor and rc://en/tw/dict/bible/kt/discipline)
#### "Kulazimishwa na Roho"
Paulo alifikiri kwamba Roho Mtakatifu alimhitaji aende Yerusalemu hata kama yeye hakutaka. Huyo Roho Mtakatifu pia aliwaambia watu wengine kwamba Paulo atakapofika Yerusalemu watu watajaribu kumdhuru.
## Links:
* __[Acts 20:1](../../act/20/01.md)__
__[<<](../19/intro.md) | [>>](../21/intro.md)__