Add 'mrk/01/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-03 18:28:59 +00:00
parent c8e9c0036c
commit bb1bb0b8d6
1 changed files with 22 additions and 0 deletions

22
mrk/01/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,22 @@
# Marko 01 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Baadhi ya tafsiri huweka kila mstari wa mashairi kwa upande wa kulia zaidi kuliko maandiko yote ili iwe rahisi kusoma. ULB inafanya hii kwa mashairi katika 1:2-3, ambayo ni maneno kutoka Agano la Kale.
### Dhana maalum katika sura hii
#### "Unaweza kunifanya kuwa safi"
Ukoma ulikuwa ugonjwa wa ngozi ambao ulimfanya mtu asiwe msafi na asiweze kumwabudu Mungu vizuri. Yesu anaweza kufanya watu kuwa "safi" au wenye afya kimwili au pia kuwa "safi" au wenye haki na Mungu kiroho . (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/clean)
#### "Ufalme wa Mungu umekaribia"
Wasomi wanajadiliana ikiwa "Ufalme wa Mungu" ulikuwapo wakati huu au bado unakuja. Tafsiri za Kiingereza mara nyingi hutumia maneno "karibu," lakini hii inaweza kusababisha ugumu kwa watafsiri. Matoleo mengine hutumia "unakuja" na "umekaribia."
## Links:
* __[Mark 01:01 Notes](./01.md)__
* __[Mark intro](../front/intro.md)__
__| [>>](../02/intro.md)__