Add '1co/03/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-18 17:22:28 +00:00
parent 73b111f840
commit b64a10f5ed
1 changed files with 23 additions and 0 deletions

23
1co/03/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,23 @@
# 1 Wakorintho 03 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Baadhi ya tafsiri huweka nukuu kutoka kwa Agano la Kale upande wa kulia zaidi kwenye ukurasa ili iwe rahisi kusoma. ULB inafanya hivyo kwa maneno yaliyotajwa kwenye mistari ya 19 na 20.
### Dhana maalum katika sura hii
#### Watu wa kimwili
Waumini wa Korintho walikuwa hawajakomaa kwa sababu ya vitendo vyao vibaya. Anawaita "wa kimwili," maana matendo yao ni kama ya wasioamini. Neno hili linatumika kwa kinyume na wale ambao ni wa "kiroho." Wakristo wanaofuata "mwili" wao wanatenda upumbavu. Wao wanafuata hekima ya ulimwengu. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/righteous]], [[rc://en/tw/dict/bible/kt/flesh]], [[rc://en/tw/dict/bible/kt/spirit]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/foolish]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/wise)
### Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii
#### Mifano
Kuna mifano nyingi katika sura hii. Paulo anatumia "watoto" na "maziwa" ili kuonyesha kutokomaa kwa kiroho. Anatumia mifano nyingi na kumwagilia maji ili kuelezea majukumu yake na Apolo katika kukuza kanisa la Korintho. Paulo anatumia mifano mingine katika kusaidia kufundisha ukweli wa kiroho kwa Wakorintho na kuwasaidia kuelewa mafundisho yake. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor)
## Links:
* __[1 Corinthians 03:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../02/intro.md) | [>>](../04/intro.md)__