From a9c9efc95d1bf48a4fd650e0ace1950c6df1353d Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: Rick Date: Fri, 28 May 2021 16:50:24 +0000 Subject: [PATCH] Add 'tit/03/Intro.md' --- tit/03/Intro.md | 19 +++++++++++++++++++ 1 file changed, 19 insertions(+) create mode 100644 tit/03/Intro.md diff --git a/tit/03/Intro.md b/tit/03/Intro.md new file mode 100644 index 0000000..3d52154 --- /dev/null +++ b/tit/03/Intro.md @@ -0,0 +1,19 @@ +# Tito 03 Maelezo ya jumla + +### Muundo na Mpangilio + +Paulo anampa Tito maelekezo ya kibinafsi katika sura hii. + +Mstari wa 15 unamalizia barua hii kirasmi. Hii ni njia ya kawaida ya kumaliza barua siku za kale katika Mashariki ya Karibu. + +### Dhana muhimu katika sura hii + +#### Orodha ya ukoo + +Orodha ya ukoo no orodha inayorekodi mababu wa mtu. Wayahudi walitumia ordha za ukoo kumchagua mtu aliyestahili kuwa mfalme. Walifanya hivi kwa vile mwana wa kiume wa mfalme angekuwa mfalme. Zilionyesha pia ni kabila na familia gani walitokea. Kwa mfano makuhani walitoka katika kabila la Walawi na kwa familia ya Aruni. + +## Links: + +* __[Titus 03:01 Notes](./01.md)__ + +__[<<](../02/intro.md) | __ \ No newline at end of file