Add 'rev/18/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-06-10 18:53:52 +00:00
parent d4527ce306
commit a84a2df9d1
1 changed files with 25 additions and 0 deletions

25
rev/18/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,25 @@
# Ufunuo 18 Maelezo kwa jumla
### Muundo na mpangilio
Sura ya 19 itaendeleza mambo yaliomo kwenye sura hii na sura zote zichukuliwe kama kipengele kimoja.
Tafsiri zingine zinaingiza ndani kidogo msitari wa ushairi ili isomeke kwa urahisi. ULB hufanya hivi na ushairi ulioko katika 19:1-8
### Dhana muhimu katika sura hii
#### Unabii
Malaika anapeana unabii kuhusu kuanguka kwa Babeli. Inazungumziwa kana kwamba ishatokea ingawa haijatokea. Hii ilikuwa ni kawaida katika unabii na unasisitiza kutokuepuka kwa hukumu ijayo. Inatabiriwa pia watu wataomboleza kuanguka kwa Babeli. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/prophet]], [[rc://en/tw/dict/bible/kt/judge]] na [[rc://en/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting)
### Tamathali muhimu sa usemi katika sura hii
#### Mifano
Mifano mara nyingi hutumiwa katika unabii. Sura hii inaachana kidogo na mfumo wa kiapokalipti wa kitabo hiki cha Ufunuo. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor)
## Links:
* __[Revelation 18:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../17/intro.md) | [>>](../19/intro.md)__