Add 'jhn/05/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-06 17:47:48 +00:00
parent 99a08b1f27
commit a0c3ef66d2
1 changed files with 27 additions and 0 deletions

27
jhn/05/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,27 @@
# Yohana 05 Maelezo ya Jumla
### Dhana maalum katika sura hii
#### Baraza
Wayahudi wengi waliamini kwamba baraza hizi zilikuwa na uwezo wa kuponya. Hii ilifanyika wakati maji "yalichochewa." (See: rc://en/ta/man/translate/figs-explicit)
#### "Ufufuo wa hukumu"
Haya ni marejeo ya wakati baada ya kifo ambapo watu wote watahukumiwa. (See: rc://en/tw/dict/bible/other/death]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/judge)
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### Mwana, Mwana wa Mungu
Yesu anajiita mwenyewe kama "Mwana," "Mwana wa Binadamu" na "Mwana wa Mungu." Lugha zingine haziwezi kuruhusu mtu kujielezea katika 'mtu wa tatu.' (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/sonofman]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/sonofgod)
#### "Ameshuhudia juu yangu"
Yesu anazungumza juu ya Agano la Kale kushuhudia kumhusu yeye. Agano la Kale linatoa unabii mwingi kuhusu Masihi ambayo yalielezea kuhusu Yesu kabla ya kuja kwake duniani. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/prophet]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/christ)
## Links:
* __[John 05:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../04/intro.md) | [>>](../06/intro.md)__