From 9e2893002444230ddd237e0155ac96b3a6c97e9f Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: Rick Date: Mon, 7 Jun 2021 17:56:09 +0000 Subject: [PATCH] Add '2pe/03/Intro.md' --- 2pe/03/Intro.md | 17 +++++++++++++++++ 1 file changed, 17 insertions(+) create mode 100644 2pe/03/Intro.md diff --git a/2pe/03/Intro.md b/2pe/03/Intro.md new file mode 100644 index 00000000..8a9976de --- /dev/null +++ b/2pe/03/Intro.md @@ -0,0 +1,17 @@ +# 2 Petero 03 Maelezo kwa jumla + +### Dhana muhimu katika sura hii + +#### Moto + +Watu hutumia moto mara nyingi kuharibu vitu ama kukifanya kitu kiwe safi kwa kuondoa uchafu na vitu visivyofaa. Kwa hivyo Mungu anapowadhibu waovu ama kuwatakaza watu wake, huwa inalinganishwa na moto. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/other/fire) + +#### Siku ya Bwana + +Wakati kamili wa kurudi kwa Bwana itakuwa mshangao kwa wengi. Hii ndiyo maana ya tashbihi "kama mwizi wa usiku". Kwa sababu ya haya Wakristo wanafaa wajiandae kwa ajili ya kurudi kwake Bwana. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/dayofthelord and rc://en/ta/man/translate/figs-simile) + +## Links: + +* __[2 Peter 03:01 Notes](./01.md)__ + +__[<<](../02/intro.md) | __ \ No newline at end of file