Add '2ti/03/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-27 21:44:40 +00:00
parent a596593b96
commit 9b851af830
1 changed files with 11 additions and 0 deletions

11
2ti/03/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,11 @@
# 2 Timotheo 03 Maelezo kwa jumla
### Muundo na Mpangilio
"Siku za mwisho" inaweza kuwa na maana ya hapo mbeleni kabla ya Kristo kurudi. Kwa hivyo Paulo anatabiri katika mistari 1-9 na 13 kuhusu siku hizo. "Siku za mwisho" pia inaeza maanisha kipindi cha Ukristo (pamoja na wakati wa Paulo).Kwa hivyo anayofundisha Paulo kuhusu mateso yanahusu Wakristo wote. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/prophet and rc://en/tw/dict/bible/kt/lastday)
## Links:
* __[2 Timothy 03:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../02/intro.md) | [>>](../04/intro.md)__