Add 'act/17/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-11 17:36:46 +00:00
parent 9cf9859872
commit 864c1c01d9
1 changed files with 19 additions and 0 deletions

19
act/17/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,19 @@
# Matendo 17 Maelezo kwa jumla
### Dhana Maalum katika sura hii
#### Kutoelewana kuhusu Maasiya
Wayahudi walimtarajia Kristo ama Maasiya awe mfalme mwenye nguvu kwa vile Agano la Kale limesema hivyo mara nyingi. Agano hilo pia lizungumzia wakati ambapo Maasiya angeteseka na hayo ndio Paulo alikuwa akiwaambia Wayahudi. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/christ)
#### Dini ya Athene
Paulo alisema kwamba watu wa Athene walikuwa watu wa "Kidini" lakini hawakumuabudu Yahweh. Waliiabudu miungu wengi wasio kweli. Hapo awali waliwaleta watu wengi chini ya utawala wao na baadaye wakaanza kuabudu miungu zao. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/falsegod)
Katika sura hii Luka anafafanua kwa mara ya kwanza jinsi Paulo alivyo waambia ujumbe wa Kristo kwa wale hawakufahamu lololete kuhusiana na agano la kale.
## Links:
* __[Acts 17:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../16/intro.md) | [>>](../18/intro.md)__