Add '2co/05/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-18 22:41:17 +00:00
parent 8b3aa0780c
commit 844db9bbc0
1 changed files with 29 additions and 0 deletions

29
2co/05/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,29 @@
# 2 Wakorintho 05 Maelezo ya Jumla
### Dhana maalum katika sura hii
#### Miili mipya mbinguni
Paulo anajua kwamba atakapokufa atapata mwili bora zaidi. Kwa sababu hii, yeye haogopi kuuawa kwa ajili ya kuhubiri injili. Kwa hiyo anawaambia wengine kwamba wao pia wanaweza kuunganishwa na Mungu. Kristo ataondoa dhambi zao na kuwapa haki yake. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/goodnews]], [[rc://en/tw/dict/bible/kt/reconcile]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/sin]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/righteous)
#### Uumbaji mpya
Uumbaji wa zamani na uumbaji mpya unaelezea jinsi Paulo anavyoonyesha Uumbaji wa zamani na uumbaji mpya. Dhana hizi pia ni sawa na mtu wa zamani na mtu mpya. Neno "zamani" labda halielezei asili ya dhambi ambayo mtu anazaliwa nayo. Inamaanisha njia ya zamani ya kuishi au Mkristo aliyekuwa amefungwa katika dhambi. "Uumbaji mpya" ni asili mpya au maisha mapya ambayo Mungu humpa mtu baada ya kumwamini Kristo. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/faith)
### Mfano muhimu ya matamshi katika sura hii
#### Nyumbani
Nyumbani mwa Wakristo haipo tena ulimwenguni. Nyumbani halisi mwa Mkristo iko mbinguni. Kwa kutumia mfano huu, Paulo anasisitiza kuwa mazingira ya Kikristo katika ulimwengu huu ni ya muda mfupi. Inatoa tumaini kwa wale wanaosumbuliwa. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/heaven]] and [[rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/hope)
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### "Ujumbe wa upatanisho"
Hii inahusu injili. Paulo anawaita watu ambao wana chuki kwa Mungu kutubu na kuunganishwa naye. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/repent]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/reconcile)
## Links:
* __[2 Corinthians 05:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../04/intro.md) | [>>](../06/intro.md)__