diff --git a/rev/22/Intro.md b/rev/22/Intro.md new file mode 100644 index 0000000..48be7d2 --- /dev/null +++ b/rev/22/Intro.md @@ -0,0 +1,23 @@ +# Ufunuo 22 Maelezo ya jumla + +### Muundo na mpangilio + +Sura hii inasisitiza kwamba nabii za kitabu cha Ufunuo zinaenda kutimilika hivi karibuni. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/prophet) + +### Dhana muhimu katika sura hii + +#### Mti wa uzima + +Kuna uwezekano kwamba kulinuiwa kulinganisha mti wa uzima katika Bustani ya Edeni na mti wa uzima unaotajwa hapa. Laana ilioanza Edeni itaisha wakati huu. + +### Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii + +#### Alfa na Omega + +Haya ni majina ya herufi za kwanza na za mwisho katika alfabeti ya Kigriki. ULB inafafanua majina yao kwa Kiingereza. Mpangilio huu unweza kuwa kielelezo cha watafsiri wengine. Watafsiri wengine, hata hivyo, wanaweza kuamua kutumia herufi za kwanza na za mwisho katika alfabeti zao, kwa mfano "A na Z " katika Kiingereza. + +## Links: + +* __[Revelation 22:01 Notes](./01.md)__ + +__[<<](../21/intro.md) | __ \ No newline at end of file