Add 'mat/17/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-03 16:29:15 +00:00
parent 617bfb785a
commit 652ba09391
1 changed files with 16 additions and 0 deletions

16
mat/17/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,16 @@
# Mathayo17 Maelezo ya Jumla
### Dhana maalum katika sura hii
#### Eliya
Nabii Malaki alitabiri kwamba siku moja Eliya atarudi kabla Masihi hajaja. Yesu anaelezea kwamba Yohana Mbatizaji alitimiza unabii huu kwa kumtumikia Mungu kwa namna ile ile kama Eliya. (Angalia: rc://en/tw/dict/bible/kt/prophet]] na [[rc://en/tw/dict/bible/kt/christ)
#### "Yeye (Yesu) alibadilishwa"
Utukufu wa Mungu unaonekana kama mwanga mkubwa, katika maandiko. Utukufu wa Mungu daima humhofisha mtu anayeuona. Tukio hilo, lililoko katika sura hii, linaitwa "kubadilika," ambako Yesu anabadilika ili aonyeshe utukufu wake wa uungu. (Angalia: rc://en/tw/dict/bible/kt/glory]] na [[rc://en/tw/dict/bible/kt/fear)
## Links:
* __[Matthew 17:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../16/intro.md) | [>>](../18/intro.md)__