diff --git a/1jn/05/Intro.md b/1jn/05/Intro.md new file mode 100644 index 0000000..1ef45b8 --- /dev/null +++ b/1jn/05/Intro.md @@ -0,0 +1,27 @@ +# 1 Yohana 05 Maelezo ya Jumla + +### Dhana maalum katika sura hii + +#### Watoto waliozaliwa kutoka kwa Mungu + +Watu wanapoamini Yesu, Mungu huwafanya watoto wake na kuwapa uzima wa milele. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/believe) + +#### Kuishi Kikristo + +Watu wanaomwamini Yesu wanapaswa kutii amri za Mungu na kupenda watoto wake. + +### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii + +#### Kifo + +Wakati Yohana anaandika juu ya kifo katika sura hii, anaelezea kifo cha kimwili. (See: rc://en/tw/dict/bible/other/death) + +#### "Ulimwengu wote upo katika uwezo wa mwovu" + +Maneno "yule mwovu" yanamaanisha Shetani. Mungu amemruhusu aongoze ulimwengu, lakini hatimaye Mungu ana mamlaka juu ya kila kitu. Mungu anawaweka watoto wake salama mbali na mwovu. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/satan) + +## Links: + +* __[1 John 05:01 Notes](./01.md)__ + +__[<<](../04/intro.md) | __ \ No newline at end of file