Update 'rev/front/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-06-08 19:05:51 +00:00
parent 732b8fc95c
commit 4b7680d585
1 changed files with 31 additions and 30 deletions

View File

@ -28,53 +28,54 @@ Yohana aliandika kitabu cha Ufunuo kuwatia moyo waumini ili wabaki waaminifu ing
Watafsiri wanaweza amua kukiita kitabu hiki na mojawapo wa vichwa vyake vya kitamaduni kama, "Ufunuo," "Ufunuo wa Yesu Kristo,"Ufunuo kwa Mtakatifu Yohana," ama "Apokalipi wa Yohana."Ama wanaweza kuchagua kichwa cha kueleweka zaidi kama "Vitu alivyovionyesha Yesu Kristo kwa Yohana." (Tazama:rc://en/ta/man/translate/translate-names)
### What type of writing is the Book of Revelation?
### Ni aina gani ya uandishi wa kitabu cha Ufunuo?
John used a special style of writing to describe his visions. John described what he saw by using many symbols. This style of writing is called symbolic prophecy or apocalyptic literature. (See: [[rc://en/ta/man/jit/writing-apocalypticwriting]])
Yohana alitumia aina maalum ya uandishi kufafanua maono yake. Yohana anafafanua alichokiona kutumia alama nyingi. Mfumo huu wa uandishi unaitwa unabii wa alama ama fasihi ya kiapokalipti (inayozungumzia maangamizo yajayo). (Tazama: rc://en/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting)
## Part 2: Important Religious and Cultural Concepts
## Sehemu ya 2: Dhana muhimu za kidini na kitamaduni
### Are the events of Revelation past or future?
### Je, matukio ya Ufunuo ni ya kipindi cha sasa ama kipindi kijacho?
Since early Christian times, scholars have interpreted Revelation differently. Some scholars think John described events that happened during his time. Some scholars think John described events happening from his time until the return of Jesus. Other scholars think John described events that will happen in a short period of time just before Christ returns.
Tangu wakati wa kwanza wa Ukristo, wasomi wamekuwa wakifafanua ufunuo tofauti. Wasomi wengine wanafikiri Yohana alifafanua matukio yaliyotokea nyakati zake. Wasomi wengine wanafikiri Yohana alifafanua matukio yaliyofanyika wakati wake hadi wakati Yesu atakaporudi. Wasomi wengine wanafikiri Yohana alifafanua matukio ambayo yangetokea muda mfupi kabla ya kurudi kwake Kristo.
Translators will not need to decide how to interpret the book before they translate it. Translators should leave the prophecies in the tenses that are used in the ULB.
Watafsiri hawatahitajika kuamua jinsi ya kukifafanua hiki kitabu hiki kitabu kabla ya kukitafsiri. Watafsiri waache unabii huo katika vitenzi vinavyotumika kwenye ULB.
### Are there any other books in the Bible like Revelation?
### Je, Kuna vitabu vingine kwenye Bibilia kama Ufunuo?
No other book of the Bible is like the Book of Revelation. But passages in Ezekiel, Zechariah, and especially Daniel are similar in content and style to Revelation. It may be beneficial to translate Revelation at the same time as Daniel since they have some imagery and style in common.
Hakuna kitabu kingine cha Bibilia kinachofanana na Ufunuo. Lakini aya katika vitabu vya Ezekieli, Zakaria na hasa Danieli zina mafundisho na aina sawa ya uandishi kama Ufunuo. Itakua na umuhimu kukitafsiri Ufunuo wakati sawa na Danieli kwa sababu vitabu hivi vina tamathali sawa za usemi na namna ya uandishi.
## Part 3: Important Translation Issues
## Sehemu ya 3: Maswala muhimu ya kitafsiri
### Does one need to understand the Book of Revelation to translate it?
### Je, mtu anahitajika kukifahamu kitabu cha Ufunuo ili kukitafsiri?
One does not need to understand all of the symbols in the Book of Revelation to translate it properly. Translators should not give possible meanings for the symbols or numbers in their translation. (See: [[rc://en/ta/man/jit/writing-apocalypticwriting]])
Mtu hahitaji kufahamu alama zote katika kitabu cha Ufunuo ili kukitafsiri ipasavyo. Watafsiri wasitoe maana ya alama ama nambari katika tafsiri zao. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting)
### How are the ideas of "holy" and "sanctify" represented in Revelation in the ULB?
### Maswala ya "takatifu" na "takasa" yameakilishwa vipi katika Ufunuo ndani ya ULB?
The scriptures use these words to indicate any one of various ideas. For this reason, it is often difficult for translators to represent them well in their versions. In translating Revelation into English, the ULB uses the following principles:
* The meaning in two passages indicates moral holiness. Here, the ULB uses "holy." (See: 14:12; 22:11)
* Usually the meaning in Revelation indicates a simple reference to Christians without implying any particular role filled by them. In these cases, the ULB uses "believer" or "believers." (See: 5:8; 8:3, 4; 11:18; 13:7; 16:6; 17:6; 18:20, 24; 19:8; 20:9)
* Sometimes the meaning implies the idea of someone or something set apart for God alone. In these cases, the ULB uses "sanctify," "set apart," "dedicated to," or "reserved for."
Maandiko yanatumia maneno haya kuashiria mojawapo ya wawazo. Kwa sababu hii, ni vigumu kwa watafsiri kuyatumia vyema katika matoleo yao. Wakati wa kutafsiri Ufunuo kwa Kiingereza, ULB hufuata sheria zifuatazo:
* Maana katika aya mbili inaashiria utakatifu wa kitabia. Hapa ULB inatumia "takatifu" (Tazama: 14:12; 22:11)
* Mara nyingi maana yanaashiria Wakristo bila kufafanua majukumu watekelezayo. Katika hali kama hizi, ULB inatumia "Mwumini" ama "waumini". (Tazama:5:8; 8:3, 4; 11:18; 13:7; 16:6; 17:6; 18:20, 24; 19:8; 20:9)
* Wakati mwingine maana yake inaashiria swala la mtu ama kitu kilichotengwa kwa ajili ya Mungu pekee. Katika hali kama hizi, ULB inatumia "takasa", "tenga kando", "kutabaruku kwa", ama "hifadhiwa kwa."
The UDB will often be helpful as translators think about how to represent these ideas in their own versions.
UDB itakuwa ya msaada kwa watafsiri kwa mara nyingi jinsi ya kuakiisha mawazo haya katika matoleo yao wenyewe.
### Periods of time
### Vipindi vya muda
John referred to various periods of time in Revelation. For example, there are many references to forty-two months, seven years, and three and a half days. Some scholars think these time periods are symbolic. Other scholars think these are actual time periods. The translator should treat these time periods as referencing actual periods of time. It is then up to the interpreter to determine their significance or what they may represent.
Yohana aliashiria vipindi vingi vya muda katika Ufunuo. Kwa mfano kuna uashiriaji mwingi wa miezi arobaini na mbili, miaka saba, na miaka mitatu na nusu. Wasomi wengine wanafikiri vipindi hivi ni alama ya kitu fulani.Wasomi wengine wanafikiri kwamba hivi ni vipindi vya ukweli vya muda. Watafsiri wanatakikana kuvichukulia hivi vipindi kama vinavyoashiria vipindi kamili vya muda. Ni juu ya mtafsiri kuamua umuhimu wavyo ama vitu vinavyowakilishwa na vipindi hivi.
### What are the major issues in the text of the Book of Revelation?
### Ni maswala gani ya muhimu ya utafsiri katika kitabu cha Ufunuo?
For the following verses, some modern versions of the Bible differ from older versions. The ULB text has the modern reading and puts the older reading in a footnote. If translations of the Bible exists in the general region, translators should consider using the readings found in those versions. If not, translators are advised to follow the modern reading.
Yafuatayo ni maswala muhimu ya uandishi katika Kitabo cha Ufunuo.
* "'I am the alpha and the omega,' says the Lord God, 'the one who is, and who was, and who is to come, the Almighty'" (1:8). Some versions add the phrase "the Beginning and the End."
* "the elders prostrated themselves and worshiped" (5:14). Some older translations read, "the twenty-four elders prostrated themselves and worshiped the one who lives forever and ever."
* "so that a third of it [the earth] was burned up" (8:7). Some older versions do not include this phrase.
* "the one who is and who was" (11:17). Some versions add the phrase "and who is to come."
* "they are blameless" (14:5). Some versions add the phrase "before the throne of God" (14:5).
* "the one who is and who was, the Holy One" (16:5). Some older translations read, "O Lord, the One who is and who was and who is to be."
* "The nations will walk by the light of that city" (21:24). Some older translations read, "The nations that are saved will walk by the light of that city."
* "Blessed are those who wash their robes" (22:14). Some older translations read "Blessed are those who do his commandments."
* "God will take away his share in the tree of life and in the holy city" (22:19). Some older translations read, "God will take away his share in the book of life and in the holy city."
* "Mimi ni alfa na omega,' asema Bwana Mungu, 'Yule aliye, na aliyekuwa, na atakayekuja, Mwenyezi'" (1:8). ULB,UDB na matoleo mengine ya kisasa husoma hivi. Matoleo mengine yanaongezea kauli "Mwanzo na Mwisho."
* "Wazee wakasujudu wakaabudu" (5:14). ULB, UDB, na matoleo mengi ya kisasa yanasoma namna hivi. Matoleo mengine ya kale yanasoma, "Wale wazee ishirini na nne wakaanguka na kumwabudu yule anayeishi milele na milele."
* "Mpaka sehemu ya tatu yake (dunia) ikachomeka" (8:7). ULB, UDB, na matoleo mengi ya kisasa yanasoma hivi.Matoleo mengine ya zamani hayana fungu hili la maneno.
* Maandiko mengine yanaongezea fungu hili "na atakayekuja" (11:17). Lakini ULB, UDB na matoleo mengi ya kisasa hayafanyi hivyo.
* Maanidko mengine yanaongezea fungu hili "mbele ya kiti cha enzi ya Mungu" (14:15)
lakini ULB, UDB na matoleo mengi ya kisasa hayafanyi hivyo."
* "Aliyeko na aliyekuwepo, Yule Mtakatifu"16:5). ULB, UDB, na matoleo mengi ya kisasa yanasoma hivi. Matoleo mengine ya zamani yanasoma, "Ee Bwana, Yule aliye na aliyekuwa na atakayekuwa."
* "Mataifa watatembea kwa mwanga wa jiji hilo" (21:24). ULB, UDB, na matoleo mengi ya kisasa husoma hivi. Matoleo mengine ya zamani husoma, "Mataifa yaliyookoka watatembea kwa mwanga wa "jiji hilo."
* "Heri wazifuao nguo zao" (22:14). ULB, UDB, na matoleo mengi ya kisasa husoma hivi. Maandiko mengine ya zamani husoma hivi, "Heri wal wanaofuata amri zake."
* "Mungu atamwondolea sehemu yake katika mti wa uzima na katika ule mji mtakatifu" (22:19).ULB, UDB, na matoleo mengi ya kisasa husoma hivi.Maandiko mengine ya kale husoma, "Mungu atachukua sehemu yake katika kitabu cha uzima na kwenye mji ule mtakatifu."
(See: [[rc://en/ta/man/jit/translate-textvariants]])