From 45e77af8548fb8a5fa7250f09b79f28229d1d82e Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: Rick Date: Thu, 27 May 2021 17:43:25 +0000 Subject: [PATCH] Add '2th/03/Intro.md' --- 2th/03/Intro.md | 17 +++++++++++++++++ 1 file changed, 17 insertions(+) create mode 100644 2th/03/Intro.md diff --git a/2th/03/Intro.md b/2th/03/Intro.md new file mode 100644 index 0000000..2141b06 --- /dev/null +++ b/2th/03/Intro.md @@ -0,0 +1,17 @@ +# 2 Wathesalonike 03 Maelezo kwa jumla + +### Dhana muhimu katika sura hii + +#### watu wasiofanya kazi na wavivu + +atika mji wa Thesalonike, inaonekana kulikuwa na shida ya watu katika kanisa ambao walikuwa na uwezo wa kufanya kazi lakini wakakataa kufanya hivyo. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-explicit) + +#### Utafanya nini ndugu yako akitenda dhambi? + +Katika sura hii Paulo anawafundisha Wakristo kwamba wanastahili kuishi kwa njia inayomheshimu Mungu. Wakristo pia wanastahili kuhimizana na kuajibikiana wanachotenda.Kanisa pia lina wajibu wa kuwahimiza waumini kutubu wakati wanatenda dhambi. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/repent and rc://en/tw/dict/bible/kt/sin) + +## Links: + +* __[2 Thessalonians 03:01 Notes](./01.md)__ + +__[<<](../02/intro.md) | __ \ No newline at end of file