Add 'jhn/15/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-07 16:43:11 +00:00
parent d39e7bbedc
commit 4100a44e0a
1 changed files with 17 additions and 0 deletions

17
jhn/15/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,17 @@
# Yohana 15 Maelezo ya Jumla
### Dhana maalum katika sura hii
#### Mzabibu
Mzabibu ni mfano muhimu katika maandiko. Sura hii inaunda mfano mgumu na uliopanuliwa. Masuala mbalimbali ya mfano huu na jinsi hutumiwa italetea watafsiraji magumu katika lugha zote. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor)
### Mimi ndimi
Yohana anatumia maneno haya mara saba katika injili yake. Ni maneno sawa yanayotumiwa na Mungu, alipojidhihirisha pamoja na jina lake Yahweh katika kichaka kilichokuwa kinawaka. Jina "Yahweh" linaweza kutafsiriwa kama "Mimi ndim." (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/reveal)
## Links:
* __[John 15:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../14/intro.md) | [>>](../16/intro.md)__