Add 'act/14/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-10 22:43:39 +00:00
parent 385e4ba0e4
commit 36dd1947c1
1 changed files with 23 additions and 0 deletions

23
act/14/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,23 @@
# Matendo 14 Maelezo kwa jumla
### Dhana Maalum katika sura hii
#### "Ujumbe wa neema yake"
Ujumbe wa Yesu ni ujumbe wa Mungu ambao huwapa neema wanaomuamini Yesu. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/grace and rc://en/tw/dict/bible/kt/believe)
#### Zeu na Herme
Watu wa mataifa katika himaya ya Warumi waliabudu miungu wengi ambao hawakuwepo. Paulo na Barnaba waliaambia kuamini katika "Mungu aliye hai" Yahwe. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/falsegod)
### Maswala mengine tata kwenye tafsiri ya sura hii.
#### "Lazima tuingie kwenye ufalme wa Mungu kupitia mateso mengi"
Yesu aliwaambia wafuasi wake kabla hajafa kwamba kila anayemfuata angepata mateso. Paulo anayarudia maneno hayo kupitia maneno tofauti na hayo.
## Links:
* __[Acts 14:1](../../act/14/01.md)__
__[<<](../13/intro.md) | [>>](../15/intro.md)__