Add 'mat/07/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-03 15:44:56 +00:00
parent 1daf5aa7fe
commit 35c1909045
1 changed files with 20 additions and 0 deletions

20
mat/07/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,20 @@
# Mathayo 07 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Kwa kuwa sura hii hubadilika haraka kutoka kwa mada moja hadi nyingine, inawezekana kutumia mstari wa nafasi kati ya mada ili kutofautisha kati yao kwa urahisi zaidi.
### Dhana maalum katika sura hii
#### Mathayo 5-7
Mathayo 5-7 kwa pamoja huunda mahubiri au mafundisho ya Yesu. Mgawanyiko wa sura husababisha kuchanganyikiwa hapa.
#### "Utawajua kwa matunda yao"
Matunda ni taswira ya kawaida katika maandiko. Inatumika kuelezea matokeo ya tabia nzuri au mbaya. Katika sura hii, matunda mazuri ni matokeo ya kuishi kama Mungu anavyoamuru. (See: rc://en/tw/dict/bible/other/fruit)
## Links:
* __[Matthew 07:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../06/intro.md) | [>>](../08/intro.md)__