Add 'mat/09/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-03 15:51:33 +00:00
parent 20c7ea4f93
commit 2c17e86a38
1 changed files with 16 additions and 0 deletions

16
mat/09/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,16 @@
# Mathayo 09 Maelezo ya Jumla
### Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii
Kuna takwimu nyingi za matamshi katika sura hii. Ilikuwa ni kawaida pia kwa Yesu kutumia mifano ya analojia na sitiari katika mafundisho yake. Jinsi yake ya kufundisha ilikuwa na nia ya kukuza imani ndani yake. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor]] na [[rc://en/tw/dict/bible/kt/faith)
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### "Na", "lakini"
Baadhi ya tafsiri za Kiingereza huanzisha sentensi nyingi katika sura hii na neno "na" au "lakini" ili kuonyesha mfululizo wa matukio katika maelezo. ULB kawaida huondoa maneno haya kwa sababu muktadha wa hadithi yenyewe unaonyesha kuwa matukio hutokea kwa mfululizo. Inakubalika kutumia maneno haya ikiwa yana umuhimu katika tafsiri yako.
## Links:
* __[Matthew 09:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../08/intro.md) | [>>](../10/intro.md)__