Add 'mrk/15/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-04 18:27:21 +00:00
parent cdda5f0bd6
commit 20db01bd88
1 changed files with 25 additions and 0 deletions

25
mrk/15/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,25 @@
# Marko 15 Maelezo ya Jumla
### Dhana maalum katika sura hii
#### "Pazia la hekalu likagawanyika mara mbili"
Pazia la hekalu lilikuwa ni ishara muhimu ambalo lilionyesha kwamba watu walihitaji kuwa na mtu anayeongea na Mungu kwa niaba yao. Hawangeweza kuzungumza na Mungu moja kwa moja kwa sababu watu wote ni wenye dhambi na Mungu huchukia dhambi. Mungu akagawanya pazia ili kuonyesha kwamba watu wa Yesu wanaweza sasa kuzungumza na Mungu moja kwa moja kwa sababu Yesu amelipia dhambi zao.
### Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii
#### Kudhihaki
Kwa kujifanya kumwabudu Yesu (Marko 15:19) na kwa kujifanya kuzungumza na mfalme (Marko 15:18), askari na Wayahudi walionyesha kwamba walimchukia Yesu na hawakuamini kwamba alikuwa Mwana wa Mungu. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-irony and rc://en/tw/dict/bible/other/mock)
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### Eloi, Eloi, lama sabakthani?
Hili ni tamko katika Kiaramu. Marko hutafsiri sauti zake kwa kuandika kwa kutumia herufi za Kigiriki. Halafu anaelezea maana yake. (See: rc://en/ta/man/translate/translate-transliterate)
## Links:
* __[Mark 15:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../14/intro.md) | [>>](../16/intro.md)__