Update 'luk/03/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-05 17:04:30 +00:00
parent 4d51461e29
commit 1f46e03fce
1 changed files with 17 additions and 14 deletions

View File

@ -1,27 +1,30 @@
# Luke 03 General Notes
# Luka 03 Maelezo ya Jumla
### Structure and formatting
### Muundo na upangiliaji
Some translations set poetry farther to the right than the rest of the text to show that it is poetry. The ULB does this with the poetry in 3:4-6, which is from the Old Testament.
Baadhi ya tafsiri hupendelea kuweka nukuu mbele kidogo ya maanidko nyingine za Agano la Kale. ULB na tafsiri nyingine nyingi za Kiingereza huingiza mistari ya 3:4-6, ambayo ni nukuu kutoka Agano la Kale.
### Special concepts in this chapter
### Dhana maalum katika sura hii
#### Justice
John's instructions to the soldiers and tax collectors in this chapter are not complicated. They are things that should have been obvious to them. He instructed them to live justly. (See: [[rc://en/tw/dict/bible/kt/justice]] and [Luke 3:12-15](./12.md))
#### Haki
#### Genealogy
A genealogy is a list which records a person's ancestors or descendants. Such lists were very important in determining who had the right be king, because the king's authority was usually passed down or inherited from his father. It was also common for other important people to have a recorded genealogy.
Maelekezo ya Yohana kwa askari na watoza ushuru katika sura hii si ngumu. Ni mambo ambayo yaliyopaswa kuwa wazi kwao. Aliwaagiza kuishi kwa haki. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/justice and Luke 3:12-15)
### Important figures of speech in this chapter
#### Nasaba
#### Metaphor
Nasaba ni orodha ambayo hurekodi mababu au wazao wa mtu. Orodha hizo zilikuwa muhimu sana katika kuamua nani aliyekuwa na haki ya kuwa mfalme, kwa sababu mamlaka ya mfalme mara nyingi ilipokelewa au kurithiwa kutoka kwa baba yake. Ilikuwa pia ya kawaida kwa mtu yeyote mashuhuri kuwa na kumbukumbu ya kizazi.
Prophecy often involves the use of metaphors to express its meaning. Spiritual discernment is needed for proper interpretation of the prophecy. The prophecy of Isaiah is an extended metaphor describing the ministry of John the Baptist ([Luke 3:4-6](./04.md)). Translation is difficult. It is suggested that the translator treat each line of the ULB as a separate metaphor. (See: [[rc://en/tw/dict/bible/kt/prophet]]) and [[rc://en/ta/man/jit/figs-metaphor]])
### Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii
### Other possible translation difficulties in this chapter
#### Sitiari
#### "(Herod) had John locked up in prison"
This event can cause confusion because the author says John was imprisoned and then says he was baptizing Jesus. The author probably uses this phrase in anticipation of Herod's imprisonment of John. This would mean that this statement is still in the future at the time of the narrative.
Unabii mara nyingi huhusisha matumizi ya sitiari ili kueleza maana yake. Utambuzi wa kiroho unahitajika kwa tafsiri sahihi ya unabii. Unabii wa Isaya ni sitiari ndefu unaoeleza huduma ya Yohana Mbatizaji (Luka 3:4-6). Tafsiri ni ngumu. Inapendekezwa kuwa mtafsiri azingatie kila mstari wa ULB kama mfano tofauti. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/prophet]]) and [[rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor)
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### "(Herode) alimfunga Yohana gerezani"
Tukio hili linaweza kuchanganya kwa sababu mwandishi anasemaYohana alifungwa na kisha anasema alikuwa akibatiza Yesu. Mwandishi huenda anatumia maneno haya kwa kutarajia wakati Herode anamfunga Yohana. Hii inamaanisha kwamba taarifa hii iliandikwa kabla ya tukio lenyewe katika maandishi.
## Links: