forked from WA-Catalog/sw_tn
Add 'jhn/07/Intro.md'
This commit is contained in:
parent
d4b12db2ee
commit
131308a48f
|
@ -0,0 +1,43 @@
|
|||
# Yohana 07 Maelezo ya Jumla
|
||||
|
||||
### Muundo na upangiliaji
|
||||
|
||||
This whole chapter concerns the concept of believing Jesus to be the Messiah. Some people believed this to be true while others rejected it. Some were willing to recognize his power and even the possibility that he was a prophet, but most were unwilling to believe that he was the Messiah. (See: [[rc://en/tw/dict/bible/kt/christ]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/prophet]])
|
||||
|
||||
Labda watafsiri watapenda kuandika alama katika mstari wa 53 kumwelezea msomaji kwa nini wamechagua kutafsiri au kutotafsiri mistari 7:53-8:11.
|
||||
|
||||
### Dhana maalum katika sura hii
|
||||
|
||||
#### "Wakati wangu haujafika"
|
||||
|
||||
Kifungu hiki na "saa yake haujafika" hutumiwa katika sura hii kuonyesha kwamba Yesu alikuwa na uwezo juu ya vitu vilikuwa vinatoweka maishani mwake.
|
||||
|
||||
#### "Maji yaliyo hai"
|
||||
|
||||
Hii ni mfano muhimu inayotumiwa katika Agano Jipya. Ni mfano. Kwa sababu mfano huu unatolewa katika mazingira ya jangwa, labda inaonyesha kuwa Yesu anaweza kutoa chakula cha kudumisha maisha. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor)
|
||||
|
||||
### Tamathali muhimu za usemi katika sura hii
|
||||
|
||||
#### Unabii
|
||||
|
||||
Yesu anatoa unabii juu ya maisha yake bila kutoa habari yote katika Yohana 7:33-34.
|
||||
|
||||
#### Kinaya
|
||||
|
||||
Nikodemo anawaelezea Mafarisayo wengine kwamba Sheria inamlazimisha asikie mtu moja kwa moja kabla ya kutoa hukumu juu yake. Mafarisayo kwa upande wao walifanya hukumu juu ya Yesu bila kuzungumza na Yesu.
|
||||
|
||||
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
|
||||
|
||||
#### "Hawakumwamini"
|
||||
|
||||
Ndugu za Yesu hawakuamini kwamba Yesu alikuwa Masihi. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/believe)
|
||||
|
||||
#### "Wayahudi"
|
||||
|
||||
Neno hili linatumika kwa njia mbili tofauti katika kifungu hiki. Linatumika hasa kwa kutaja upinzani wa viongozi wa Kiyahudi waliokuwa wakijaribu kumwua (Yohana 7:1). Pia hutumiwa kwa kutaja watu wa Yudea kwa ujumla ambao walikuwa na maoni mazuri ya Yesu (Yohana 7:13). Mtafsiri anaweza kutumia maneno "viongozi wa Kiyahudi" na "watu wa Kiyahudi" au "Wayahudi (viongozi)" na "Wayahudi (kwa ujumla)."
|
||||
|
||||
## Links:
|
||||
|
||||
* __[John 07:01 Notes](./01.md)__
|
||||
|
||||
__[<<](../06/intro.md) | [>>](../08/intro.md)__
|
Loading…
Reference in New Issue