Add '1co/12/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-18 18:36:12 +00:00
parent 32bf052903
commit 124e4137ed
1 changed files with 25 additions and 0 deletions

25
1co/12/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,25 @@
# 1 Wakorintho 12 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
#### Vipaji vya Roho Mtakatifu
Sura hii inaanza sehemu mpya. Sura za 12-14 zinajadili vipaji vya kiroho ndani ya kanisa.
### Dhana maalum katika sura hii
#### Kanisa, mwili wa Kristo
Hii ni mfano muhimu katika Maandiko. Kanisa lina sehemu nyingi. Kila sehemu ina kazi tofauti. Zinakusanywa kuunda kanisa moja. Sehemu zote tofauti ni muhimu. Kila sehemu inapaswa kujali sehemu nyingine zote, hata zile zinazoonekana kutokuwa muhimu. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor)
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### "Hakuna mtu anayeweza kusema, 'Yesu ni Bwana,' isipokuwa kwa Roho Mtakatifu."
Katika kusoma Agano la Kale, Wayahudi wangeweza kubadilisha neno "Bwana" kwa neno "Yahweh." Sentensi hii ina maana kwamba hakuna mtu anayeweza kusema kuwa Yesu ndiye Bwana, Mungu katika mwili, bila uwezo wa Roho Mtakatifu kuwavuta kukubali ukweli huu. Ikiwa neno hili limetafsiriwa vibaya, linaweza kuwa na madhara ya kitheolojia yasiyotarajiwa.
## Links:
* __[1 Corinthians 12:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../11/intro.md) | [>>](../13/intro.md)__