Add 'mat/12/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-03 16:08:43 +00:00
parent 865ff704d9
commit 0f86d4be1b
1 changed files with 26 additions and 0 deletions

26
mat/12/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,26 @@
# Mathayo12 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Baadhi ya tafsiri hupendelea huingiza kidogo mistari ya nukuu za Agano la Kale. ULB na tafsiri nyingine nyingi za Kiingereza huingiza mistari yote ya 12: 18-21, ambayo ni nukuu kutoka Agano la Kale.
### Dhana maalum katika sura hii
#### Sabato
Kutii Sabato ni sehemu muhimu katika sura hii. Hata hivyo, Yesu anafafanua kati ya kufuata Sabato jinsi Mungu alivyoamuru na kufuata sheria ambazo Mafarisayo waliziunda kuhusu Sabato. (Angalia: rc://en/tw/dict/bible/kt/sabbath)
#### "Kukufuru Roho"
Kuna utata mkubwa juu ya kutambua vizuri dhambi hii maalum. Hata hivyo, inaonekana kuwa inahusisha kumtukana Roho Mtakatifu na kazi yake. Kwa kuwa sehemu ya kazi yake ni kuwashawishi watu kuwa wao ni wenye dhambi na kwamba wanahitaji msamaha wa Mungu, yeyote ambaye alikejeli ukweli huu hangetaka kuja kwake Mungu kwa toba. Kwa sababu hii, hangeweza kusamehewa. (Angalia: rc://en/tw/dict/bible/kt/sin)
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### Kaka na Dada
Sura hii inaanzisha dhana ya kaka na dada "wa kiroho". Maandiko hutumia maneno haya kwa kutaja uhusiano kati ya Waisraeli. Hapa, wale wanaomfuata Yesu sasa wanajulikana kama kaka na dada. (Angalia: rc://en/tw/dict/bible/kt/spirit]] na [[rc://en/tw/dict/bible/kt/brother)
## Links:
* __[Matthew 12:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../11/intro.md) | [>>](../13/intro.md)__