Add '1ti/03/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-27 18:33:37 +00:00
parent 0d9b4456e5
commit 037540da51
1 changed files with 23 additions and 0 deletions

23
1ti/03/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,23 @@
# 1 Timotheo 03 Maelezo kwa ujumla
### Muundo na Mpangilio
1 Timotheo 3:16 huenda ni wimbo, shairi ama kanuni ya imani kanisa la mwanzo "lililotumia kuorodhesha mafundisho muhimu waumini wote walishiriki.
### Dhana muhimu katika sura hii
#### Waangalizi na Mashemasi
Kanisa lilitumia vyeo tofauti vya viongozi wa kanisa. Vyeo vingine vilijumuisha, mzee, mchungaji na askofu. Neno "Mwaangalizi linaashiria maana ya luga ya awali katika misitari ya 1-2. Paulo anaandika kuhusu "Mashemasi" katika misitari ya 8 na 12 kama aina nyingine ya uongozi wa kanisa.
### Maswala mengine ya matata katika tafsiri ya sura hii
#### Sifa za tabia
Sura hii inaorodhesha sifa chache ambazo lazima mwanaume anayetaka kuwa mwangalizi ama shemasi katika kanisa awe nazo. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-abstractnouns)
## Links:
* __[1 Timothy 03:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../02/intro.md) | [>>](../04/intro.md)__