sw_tn_fork/psa/108/003.md

5 lines
316 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa kuwa uaminifu wako wa agano ni mkuu ... uaminifu wako unafika mawinguni
Misemo hii miwli ina maana ya kufanana. Inalinganisha ukuu wa uaminifu wa agano wa Yahwe na uaminifu wake kwa ukuu wa jinsi mbingu zilivyo juu ya nchi. "uaminifu wako wa agano na uaminifu wako ni zaidi ya umbali kati ya mbingu na nchi"