forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
653 B
Markdown
29 lines
653 B
Markdown
|
# aliamuru anga
|
||
|
|
||
|
Asafu anazungumzia anga kana kwamba ilikuwa ni mtu anayeweza kusikia na kutii amri za Mungu. "alizungumza na anga'
|
||
|
|
||
|
# anga
|
||
|
|
||
|
Maana zinazowezekana ni 1) "anga" au 2) "mawingu."
|
||
|
|
||
|
# kufungua mzlango ya anga
|
||
|
|
||
|
Asafu anazungumzia anga kana kwamba ni ghala lenye mzlango. "kufungua anga kana kwamba ni ghala"
|
||
|
|
||
|
# Aliwanyeshea mana kwa ajili yao kula, na kuwapa nafaka kutoka mbinguni
|
||
|
|
||
|
Mistari hii miwili inazungumzia tukio moja.
|
||
|
|
||
|
# Aliwanyeshea mana
|
||
|
|
||
|
"Alisababisha mana kudondoka kutoka angani kama mvua"
|
||
|
|
||
|
# mkate wa malaika
|
||
|
|
||
|
Hii inazungumzia mana. "aina moja ya chakula ambayo malaika hula"
|
||
|
|
||
|
# chakula cha kutosha
|
||
|
|
||
|
"kiasi kikubwa cha chakula"
|
||
|
|