sw_tn_fork/phm/01/04.md

25 lines
475 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Neno "sisi" ni wingi ikimaanisha Paulo, Timotheo na Filemoni.
# Wewe
Hapo na zaidi katika barua hii, neno" wewe" inamtaja Filemoni.
# Kuwa na ufanisi katika ujuzi wa kila jambo jema
Matokeo ya kujua kilicho chema
# Katika Kristo
"Kwa sababu ya Kristo"
# mioyo ya waumini imekuwa ikitulizwa nawe
"umewatia moyo waamini" au "umewasaidia waamini"
# Ndugu
"marafiki" Paulo anamuita Filemoni rafiki maana wote ni waamini na anasisitiza urafiki wao.