sw_tn_fork/job/38/31.md

33 lines
702 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu
# Je unaweza kuzifunga minyororo.....juu ya dunia
Yahweh anatumia maswali haya kukazia kwamba Ayubu hajui jinsi ya kutawala na kuongoza nyota.
# kuzifunga minyororo
"kukaza minyororo" au "kufunga vifungo"
# Kilimia...Orioni...dubu
Haya ni majina ya makundi ya nyota.
# kuvifungua vifundo vya Orioni
"kuvunja vifungo vinavyoshikilia Orioni"
# nyota
Hii inarejelea aina kumi na mbili tofauti tofauti za nyota ambazo huonekana baada ya jua wakati linapozama. Mkusanyiko wa nyota huonekana nyuma ya jua kila mwezi.
# kutokea katika nyakati zake
"ili kwamba zionekanae kwa wakati sahihi"
# watoto wake
"vitoto vichanga vya dubu"