forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
631 B
Markdown
29 lines
631 B
Markdown
|
# Labani akaambiwa
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "mtu mmoja akamwambia Labani"
|
||
|
|
||
|
# Siku ya tatu
|
||
|
|
||
|
Ilikuwa utamaduni wa Kiyahudi kuhesabu siku ya kuanza safari kama siku ya kwanza. "Siku mbili baada ya kuondoka"
|
||
|
|
||
|
# kwamba Yakobo amekimbia
|
||
|
|
||
|
Yakobo pekee ndiye anayetajwa kwa sababu ndiye kiongozi wa familia. Inaweza kuwekwa wazi ya kwamba familia yake ilikwenda naye. "ya kwamba Yakobo alitoroka na wake zake na watoto wake"
|
||
|
|
||
|
# Hivyo akawachukua
|
||
|
|
||
|
"Kwa hiyo labani akachukua"
|
||
|
|
||
|
# na kumfuatia
|
||
|
|
||
|
"na kumfukuza Yakobo"
|
||
|
|
||
|
# kwa safari ya siku saba
|
||
|
|
||
|
Labani alitumia siku saba akitembea kumfikia Yakobo.
|
||
|
|
||
|
# Akampita
|
||
|
|
||
|
"Alimfikia"
|
||
|
|