forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
714 B
Markdown
25 lines
714 B
Markdown
|
# maelezo ya jumla
|
||
|
|
||
|
Yuda anajitambulisha kama mwandishi wa hii barua na anawasalimu wasomaji wake. Yawezekana alikuwa kaka yake Yesu wakambo. Kuna Yuda wengine wawili katika Agano Jipya.
|
||
|
|
||
|
# maelezo ya jumla
|
||
|
|
||
|
Neno "wewe" katika hii barua ya husu waKristo ambao Yuda alikuwa akiwandikia na ni katika wingi.
|
||
|
|
||
|
# Yuda, mtumishi wa
|
||
|
|
||
|
Yuda ni kaka wa Yakobo. Tafsiri mbadala: "Mimi ni Yuda, mtumishi wa."
|
||
|
|
||
|
# Na kaka yake na Yakobo
|
||
|
|
||
|
Yakobo na Yuda ni nusu kaka wa Yesu
|
||
|
|
||
|
# wapendwao katika Mungu Baba
|
||
|
|
||
|
"Mungu baba anawapenda ninyi"
|
||
|
|
||
|
# huruma na iwe kwenu na amani izidishwe
|
||
|
|
||
|
"kwenu" ina rejea kwa Wakristo wote waliopaswa kupokea barua hii.Tafsiri mbadala: "huruma, neema na upendo na uongezwe mara nyingi kwa ajili yenu."
|
||
|
|