sw_tn_fork/jdg/04/06.md

37 lines
501 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla
Mwandishi wa Waamuzi anaelezea watu, miji, milima na mito kwa majina yake.
# Baraka ... Abinoamu
Haya ni majina ya wanaume.
# mlima wa Tabori
Hili ni jina la mlima.
# watu elfu kumi
"watu 10,000"
# Mimi nitamfukuza
"Mimi" linamaanisha Mungu.
# Nitamfukuza Sisera
Hapa "sisera" inawakilisha jeshi lake. "nitamfukuza Sisera na jeshi lake"
# Kufukuza
Kuwatoa watu waondoke sehemu salama.
# Sisera ... Yabini,
Haya ni majina ya wanaume.
# Kishoni
Hili ni jina la mto.