forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
920 B
Markdown
21 lines
920 B
Markdown
|
# hasira ya Yahwe imewaka dhidi ya nchi hii
|
|||
|
|
|||
|
Musa analinganisha Yahwe kuwa na hasira na mtu anayeanzisha moto. Hii inasisitiza nguvu ya Mungu ya kuangamiza chochote kinachomkasirisha, na inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "Yahwe amekuwa na hasira sana na nchi hii"
|
|||
|
|
|||
|
# nchi hii, ili kuleta
|
|||
|
|
|||
|
Hapa "nchi" ni lugha nyingine inayowakilisha watu. "watu wa nchi hii, ili kwamba kuleta juu yao"
|
|||
|
|
|||
|
# zilizoandikwa
|
|||
|
|
|||
|
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "ambayo nimeandika"
|
|||
|
|
|||
|
# Yahwe amewang’oa kutoka nchini ... na kuwatupa
|
|||
|
|
|||
|
Israeli analinganishwa na mmea mbaya ambao Yahwe ameong'oa na kuutupa nje ya bustani. "Yahwe amewaondoa kutoka katika nchi yao ... na amewalazimisha wao kuondoka"
|
|||
|
|
|||
|
# kwa hasira, kwa ghadhanu, na kwa ghadhabu kali
|
|||
|
|
|||
|
Maneno "hasira" na "ghadhabu" kimsingi yana maana ya kitu kimoja na yanasisitiza ukubwa mpana wa hasira ya Yahwe. "katika hasira kubwa sana" au "kwa sababu alikuwa na hasira sana"
|
|||
|
|