sw_tn_fork/2ti/04/19.md

49 lines
752 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# nyumba ya Onesiforo
"nyumba" inasimama kuelezea watu wanaoishi pale. "familia ya Onesiforo"
# Onesiforo
Hili ni jina la mwanaume.
# Erasto, Trifimo, Eubulo, Pude, Lino
Haya ni majina ya wamaume.
# Mileto
Hili ni jina la mji uliopo kusini kwa Efeso.
# Fanya hima uje
"tengeneza njia uje"
# kabla ya kipindi cha baridi
"kabla ya kipindi cha baridi"
# Pude, Lino, Claudia na ndugu wote
"Pude, Lino, Claudia na ndugu wote wanawasalimia"
# Claudia
Hili ni jina la mwanamke.
# Ndugu wote
"ndugu" inmaanisha waamini wote wanaume na wanawake.
# Mungu awe pamoja na roho yako
"Naomba kwamba Mungu aifanye roho yako kuwa imara"
# Neema iwe nanyi
"Naomba kwamba Bwana aoneshe rehema zake kwenu"
# Neema
"huruma yake" au "upendeleo wake"