sw_tq/1sa/01/01.md

13 lines
236 B
Markdown

# Wake wawili wa Elikana walikuwa akina nani?
Wake wa Elikana walikuwa Hana na Penina.

# Hana alikuwa na watoto wangapi?
Hana hakuwa na mtoto.