# Daudi alifanya nini wakati ambao Goliati alimsogelea. Daudi alikimbia kwa haraka kuelekea jeshi la adui ili akutane naye.