# Ni utundu gani ambao Eliabu alisema ulikuwa moyoni mwa Daudi? Alisema kuwa anakijua kiburi cha Daudi na ameenda huko ili aweze kuona mapigano.